James Msekela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

James Alex Msekela (amezaliwa 3 Septemba, 1959) ni mbunge wa jimbo la Tabora Kaskazini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu James Alex Msekela (25 Aprili 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.