Lilian Nyiti
Mandhari
'
| Lilian Nyiti | |
|---|---|
| Amezaliwa | 3 Juni 1959 |
| Kazi yake | mwanariadha |
Lilian Nyiti (alizaliwa tarehe 3 Juni 1959) ni mwanariadha mwanamke kutoka Tanzania. Alishiriki katika mbio za mita 800 katika Michezo ya Olimpiki ya mwaka 1980.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://web.archive.org/web/20200418065646/https://www.sports-reference.com/olympics/athletes/ny/lilian-nyiti-1.html
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lilian Nyiti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |