Celina Ompeshi Kombani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Celina Kombani)

Celina Ompeshi Kombani (19 Juni 1959 - 24 Septemba 2015) alikuwa mbunge wa jimbo la Ulanga Mashariki katika bunge la taifa nchini Tanzania,[1] akitokea katika chama cha CCM.

Pia alipata kuwa waziri.

Alifariki nchini India akiwa katika matibabu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. ["Mengi kuhusu Celina Ompeshi Kombani". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 2011-11-03.  Mengi kuhusu Celina Ompeshi Kombani]