Celina Ompeshi Kombani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Celina Ompeshi Kombani (19 Juni 1959 - 24 Septemba 2015) alikuwa mbunge wa jimbo la Ulanga Mashariki katika bunge la taifa nchini Tanzania,[1] akitokea katika chama cha CCM.

Pia alipata kuwa waziri.

Alifariki nchini India akiwa katika matibabu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. [Mengi kuhusu Celina Ompeshi Kombani. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 2011-11-03. Mengi kuhusu Celina Ompeshi Kombani]