Muhammed Seif Khatib
Mandhari
Muhammed Seif Khatib (10 Januari 1951 - 2021) alikuwa Mbunge katika Bunge la Tanzania.
Alipata kuwa waziri kupitia chama cha kisiasa Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Pia alikuwa mwandishi wa vitabu vya fasihi ya Kiswahili.
Miongoni mwa kazi zake alizoziandika ni kama vile diwani ya Wasakatonge.
Chanzo
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti ya Bunge la Tanzania
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Muhammed Seif Khatib kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |