Kelvin Yondan
Jump to navigation
Jump to search
Kelvin Yondan (amezaliwa 4 Oktoba 1984) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Tanzania. Anacheza nafasi ya beki wa kati
Anachezea klabu ya Yanga Sc nchini Tanzania. Pia anachezea timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars.
Timu alizowahi kuchezea[hariri | hariri chanzo]
- Simba S.C. 2008-2013
- Young Africans Sc 2013-
Aina ya uchezaji[hariri | hariri chanzo]
Ni mmoja kati ya mabeki bora Afrika Mashariki, kwa zaidi ya miaka kumi sasa anaunda ukuta imara wa wana jangwani Yanga. Anakaba kwa nguvu mipira ya juu na chini na undava wa hali ya juu. Anafahamika kwa tackling kali na kuanzisha mashambulizi tokea nyuma.
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kelvin Yondan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |