Fadhy Mtanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fadhili Frank Mtanga (anafahamika kwa jina lake la kiuandishi kama Fadhy Mtanga[1]; alizaliwa 14 Novemba 1981) ni mwandishi mbunifu[2], mwanablogu, mpiga picha, msanifu michoro na mwanajamii kutoka nchini Tanzania.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Alitoa riwaya yake ya kwanza ya Kiswahili mnamo mwaka 2011 na ilikwenda kwa jina la Kizungumkuti — halafu ikafuatiwa na Huba[3] mnamo mwaka wa 2014 na Fungate[4] iliyotoka mwaka 2017.

Mwaka wa 2018, alichapisha kitabu chake cha kwanza cha mashairi kilichoitwa Hisia[5].

Kazi[hariri | hariri chanzo]

  • Kizungumkuti (2011)
  • Hisia (2018)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Fadhy Mtanga. Iliwekwa mnamo 19 February 2018.
  2. Fadhy Mtanga - poems - (en).
  3. Huba.
  4. "Press Reader", 26 May 2017. 
  5. Mtanga, Fadhy (2018-05-30). Ninawaleteeni kitabu cha HISIA.
  6. Mtanga, Fadhy (2014). Huba (in Swahili). Jukwaa Huru Media. 
  7. Princeton University Library.
  8. Mtanga, Fadhy (2017). Fungate (in Swahili). UWARIDI. ISBN 9789987950843.