Francis Cheka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Francis Cheka (alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania, 15 Aprili 1982) ni mpiganaji mahiri wa ngumi na bingwa wa dunia (WBF) wa uzito wa Super Middleweight.

Katika kupigana mara 44, alishinda mara 32 (kwa KO 17), alishindwa mara 10 na kutoka sare mara 2.

Kwa sasa anaishi Morogoro.

Kigezo:S-vacKigezo:S-vac
Achievements
WBF Super Middleweight Champion
August 30, 2013 – present
Incumbent
Alitanguliwa na
Francis Cheka
IBF Continental Africa
Super Middleweight Champion

May 01, 2013 – present
Incumbent
Alitanguliwa na
Francis Cheka
IBF Continental Africa
Super Middleweight Champion

December 27, 2012 – May 01, 2013
Akafuatiwa na
Francis Cheka
IBF Continental Africa
Super Middleweight Champion

April 28, 2012 – December 27, 2012
Akafuatiwa na
Francis Cheka
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Francis Cheka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.