Godfrey Mwakikagile

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Godfrey Mwakikagile (amezaliwa 4 Oktoba 1949 huko Kigoma) ni mwandishi Mtanzania aishiye nchini Marekani. Huko anafundisha katika Chuo Kikuu cha Wayne State tangu 1975. Anajulikana hasa kwa kuandika wasifu ya marehemu Julius Nyerere.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Godfrey Mwakikagile kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.