Mosi Alli
Jump to navigation
Jump to search
Mossi Alli | |
Nchi | Tanzania |
---|
Mosi Alli (alizaliwa 3 Julai 1961) ni mwanariadha wa zamani wa Tanzania.
Alishiriki mashindano ya riadha ya Olimpiki mwaka 1980 katika mbio za mita 100 kwa upande wa wanawake. [1]