SaRaha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Sara Larsson
SaRaha akiwa Sommarkrysset mwaka 2016
Amezaliwa1983 juni 26
Vänersborg, Sweden
NchiUswidi
Majina mengineSaRaha
Kazi yake
  • Muimbaji
  • mtunzi wa nyimbo


Sara Larsson (alizaliwa 26 Juni 1983), anajulikana kwa jina la kisanii la SaRaha ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za kiSweden-Tanzania. Alianza kutambulika Swedeni mwaka 2016 katika tamasha la Melodifestivalen.

Maisha na Kazi[hariri | hariri chanzo]

Larsson alizaliwa tarehe 26 Juni 1983 katika mji wa Vänersborg, Swedeni. Mwaka 1985 yeye na familia yake walihamia nchini Tanzania. Alipotimiza miaka 18 alihamia Zimbabwe na ndipo alipoanzia kazi yake ya kimuziki, alifanya muziki na bendi nyingi za Zimbambwe katika mji wa Harare.[1]. Alirudi Tanzania mwaka 2009. Mwaka 2011, alitoa wimbo uliomfanya atambulike sana Tanzania ulitambulika kwa jina la Tanesco.[2]. Baadae aliachia wimbo wa My Dear, na kutoa album yake ya kwanza iliyoitwa Mblele Kiza mwaka 2014.[3] Wimbo wa "Mblele Kiza" ulipendwa pia nchini Swedeni. SaRaha alishiriki tamasha la Melodifestivalen 2016 kwa wimbo wa "Kizunguzungu", na kushinda kwenda kwenye nusu fainali ya raundi ya tatu.[4][5][6] Fainali alishinda kwa ujumla wa wote walioshiriki kwa nafasi ya tisa na nafasi ya saba katika jamii ya Swedeni.[7]

Nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

Jina Maelezo Nafasi ya juu ya chati
SWE
Mblele Kiza

Singo[hariri | hariri chanzo]

Jina Mwaka Nafasi ya chati Vyeti Albamu
SWE
[8]
"Tanesco" 2011 Mblele Kiza
"Jambazi" 2012
"There Is You"
"Mblele Kiza" 2013
"Unieleze"
(SaRaha featuring Linex)
"Dadido"
(SaRaha featuring Big Jahman)
2014 Singo zisizo na Albamu
"Shemeji"
"Kila Ndoto"
(SaRaha featuring Marlaw)
"Kizunguzungu" 2016 2
  • GLF: 2x Platinum
"—" denotes a single that did not chart or was not released in that territory.

Singo alizoshirikishwa[hariri | hariri chanzo]

  • "My Dear" (Akil feat. SaRaha) (2011)
  • "Fei" (Fid Q feat. SaRaha) (2011)
  • "Don't Cry" (Makamua feat. SaRaha) (2012)
  • "Usiku wa giza" (Nako 2 Nako feat. SaRaha) (2012)
  • "Siongopi" (Joh Makini feat. SaRaha) (2012)
  • "Mazoea" (Big Jahman feat. SaRaha & Nura) (2012)
  • "Dream" (Hustler Jay feat. SaRaha) (2013)
  • "Ghetto Love" (Magenge ft. SaRaha) (2013)
  • "Chips Mayai" (Q Chilla feat. SaRaha) (2013)
  • "Habibty" (Akil feat. SaRaha) (2014)
  • "Tuongee" (Makamua feat. SaRaha) (2015)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "About". SaRaha - Official Homepage. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-02-22. 
  2. "Sara är lärare – och popstjärna i Afrika". kunskapsförbundet. 2014-09-24. 
  3. "Akatasia". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-05. Iliwekwa mnamo 2018-06-20. 
  4. "Melodifestivalen 2016: SaRaha Kizunguzungu". svt.se. SVT. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-05. Iliwekwa mnamo 2015-12-27. 
  5. "SaRaha debuterar i Melodifestivalen - P4 Väst". Iliwekwa mnamo 2016-01-20. 
  6. Escudero, Victor M. (20 February 2016). "Sweden: third semi-final results". eurovision.tv. European Broadcasting Union. Iliwekwa mnamo 20 February 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  7. Escudero, Victor M. (12 March 2016). "Frans wins Melodifestivalen in Sweden". EBU.  Check date values in: |date= (help)
  8. "SaRaha discography". swedishcharts.com. Hung Medien. Iliwekwa mnamo 27 February 2016.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu SaRaha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.