Geline Alfred Fuko
Geline Alfred Fuko ni mwanasheria Mtanzania, na mwanaharakati wa haki za binadamu ambaye ni mhitimu wa Shahada ya uzamivu kupitia programu ya Erasmus Mundus Joint katika Maendeleo ya jamii.[1][2]
Amesaidia kukuza demokrasia nchini Tanzania katika mashirika kama Tangible Initiatives For Local Development Tanzania (TIFLD) ambapo alikuwa na mchango mkubwa katika kubuni na kusimamia mfumo wa kwanza wa mtandao wa kuhifadhi data ya umma kwenye rasilimali za kikatiba.[3][4] Mafanikio yake yalitambuliwa wazi na Rais Obama katika Mkutano wa Rais wa YALI huko Washington, D.C. mnamo 3 Agosti 2016.[5]
Kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, aliteuliwa kuwa meneja wa TACCEO Election Observation Center akiwa chini ya mwavuli wa asasi za kiraia 16.[6]
Geline alfredi fuko | |
Amezaliwa | Tanzania |
---|---|
Nchi | Tanzania |
==Elimu==Masters degree Mzaliwa wa Tanzania, masomo yake ya shule ya msingi mpaka sekondari aliyapata katika mikoa ya Ruvuma, Singida na Tanga kabla ya kujiunga na shule ya sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kuhitimu mnamo 2007. Mnamo mwaka 2010, alirejea masomoni kupitia programu ya Erasmus Mundus master's degree,[7] akitumia miezi tisa nchini Italia, na vipindi vifupi katika Chuo Kikuu cha Corvinus huko Budapest, Hungaria, na kikundi cha wanaojitolea cha Umoja wa Mataifa huko Bonn nchini Ujerumani. Kisha akarudi Italia ambapo alihitimu shahidi ya uzamivu utoka Chuo Kikuu cha Trento mnamo 2012.[8]
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Kama wahitimu uwanasheria na kutokana na kupendezwa kwake na haki za binadamu, Fuko kwanza alifanya kazi kwa mashirika yasiyokuwa ya kiserikali ya haki za binadamu ambapo alifuatilia vikao vya bunge na sheria zinazoibuka, na kutoa huduma ya habari kwa umma.[8]
Aliporudi kutoka masomo yake ya Erasmus, alifanya kazi na mashirika anuwai ya haki za binadamu ikijumuisha Media Institute of Southern Africa, Tanzania chapter (Misa Tan), SIkIKA, kabla ya kurejea LHRC na kuongoza LHRC Online Public Database on Constitutional Resources. akiunga mkono umma na habari juu ya jinsi katiba ya Tanzania ilivyoandikwa, kutafsiriwa na kutekelezwa. Aliboresha mfumo wa usimamizi wa kidijitali kwa ajili ya usimamizi wa ushiriki wa umma na kituo cha rasilimali.[9]
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Geline Fuko: Making a difference thanks to Erasmus Mundus". EEAS - European External Action Service - European Commission (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-22. Iliwekwa mnamo 2020-04-07.
- ↑ fpfis-admin (2017-01-27). "Dėmesio centre: programa „Erasmus+" atvira pasauliui". Erasmus+ - European Commission (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-04-07.
- ↑ "Geline Fuko: A promising leader who will work towards the betterment of Africa". Hamasa Magazine (kwa American English). 2018-05-12. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-22. Iliwekwa mnamo 2020-04-07.
- ↑ "LHRC | Katiba". katiba.humanrights.or.tz. Iliwekwa mnamo 2020-04-07.
- ↑ "Remarks by the President at the Young African Leaders Initiative Town Hall". whitehouse.gov (kwa Kiingereza). 2016-08-03. Iliwekwa mnamo 2020-04-07.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-22. Iliwekwa mnamo 2018-10-20.
- ↑ fpfis-admin (2017-01-27). "Dėmesio centre: programa „Erasmus+" atvira pasauliui". Erasmus+ - European Commission (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-04-07.
- ↑ 8.0 8.1 "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2020-02-22. Iliwekwa mnamo 2020-04-07.
- ↑ "LHRC | Katiba". katiba.humanrights.or.tz. Iliwekwa mnamo 2020-04-07.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Geline Alfred Fuko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |