Trento

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mandhari ya mji.

Trento ni mji wa Italia kaskazini wenye wakazi 117.317 (2016). Ndio makao makuu ya wilaya yenye jina hilohilo, na ya mkoa wa Trentino-Alto Adige.

Ni maarufu hasa kutokana na Mtaguso wa Trento (1545-1563) uliofanyika mjini humo.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Trento kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.