Geline Alfred Fuko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Geline Alfred Fuko (amezaliwa tar. ) ni mwanamke Mtanzania ambaye ni wakili wa mahakama Kuu, mtafiti wa katiba na haki za binadamu. Ndiye mtu wa kwanza kutengeneza kanzidata ya katiba ya nchi ambayo inawafikia Watanzania kiurahisi.

Kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, aliteuliwa kuwa meneja wa TACCEO Election Observation Center akiwa chini ya mwavuli wa asasi za kiraia 16.[1]

Elimu[hariri | hariri chanzo]

  1. Alipata Shahada ya Kwanza ya Sheria akiwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania.
  2. Alipata Shahada ya Uzamili ya Maendeleo ya Jamii akiwa University Of Trento, Italy na Cornivus University Of Budapest, Hungary.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

  1. Ni muasisi wa shirika lisilo la kiserikali linalojulikana kama Tangible Initiatives For Local Development Tanzania linalosimamia pamoja na mambo mengine demokrasia na utawala wa sheria

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Geline Alfred Fuko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.