May Balisidya
Mandhari
May Lenna Balisidya Matteru | |
Amezaliwa | 10, mei, 1947 Tanzania |
---|---|
Amekufa | 1987 |
Kazi yake | mwandishi wa vitabu |
May Lenna Balisidya Matteru (alizaliwa tarehe 10 Mei 1947) alikuwa mwandishi wa vitabu vya Kiswahili nchini Tanzania.
Elimu yake
[hariri | hariri chanzo]Alisoma shule ya msingi na sekondari mkoani Dodoma. Alipata shahada ya Sanaa katika chuo kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania mwaka 1970.
Mwaka 1978 alitunukiwa shahada ya uzamili ya fasihi simulizi chuo kikuu cha Dar es Salaam, shahada ya uzamivu ya fasihi za Afrika chuo kikuu cha Wisconsin-Madison Novemba mwaka 1987. [1][2]
Kazi zake
[hariri | hariri chanzo]Mwaka 1971, alichaguliwa na baraza la Kiswahili Tanzania na kuhudumu mihula miwili kama mwenyekiti msaidizi wa baraza. [2] [1]
Mwaka 1977 mpaka 1987, alikuwa mhadhiri kwenye idara ya Kiswahili chuo kikuu cha Dar es Salaam. [1]
Vitabu vyake [3]
[hariri | hariri chanzo]Kifo chake
[hariri | hariri chanzo]Alifariki mnamo mwaka 1987 akiwa na umri wa miaka 40. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 1.2 1.3 "In Memoriam: Dr. May Balisidya Matteru (1947 - 1987)". Kiswahili (pdf). 54. University of Dar es Salaam: 3–13.
- ↑ 2.0 2.1 "A Storyteller to Remember". African languages and literature. University of Wisconsin.
- ↑ Otiso, Kefa M (2013). Culture and Customs of Tanzania. uk. 82. ISBN 0313087083.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu May Balisidya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |