Mustafa Mkulo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mkulo

Mustafa Haidi Mkulo (amezaliwa tar. 26 Septemba 1946) ni mbunge wa jimbo la Kilosa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]