Juma Hassan Killimbah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Juma Hassan Killimbah (amezaliwa tar. 25 Novemba 1959) ni mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Juma Hassan Kilimbah (25 Aprili 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.