Iddy Nado

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Iddy Nado (alizaliwa 3 Novemba 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Tanzania ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Azam F.C. iiliyopo katika Ligi Kuu ya Tanzania.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Iddy Nado kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.