Sara Ramadhani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sara Ramadhani
Amezaliwa30 Desemba 1987 (1987-12-30) (umri 33)

Sara Ramadhani (amezaliwa tarehe 30 Desemba 1987) ni Mtanzania mkimbiaji wa mbio ndefu zijulikanazo kama marathoni. Alishiriki shindano la Marathoni ya wanawake ya mwaka 2016 ambapo alimaliza umbali wa 121 kwa muda wa 3:00:03 [1]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Sara Ramadhani. Rio 2016. Jalada kutoka ya awali juu ya 6 August 2016. Iliwekwa mnamo 15 August 2016.