Rayah Kitule

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rayah Kitule (amezaliwa 31 Januari 1984) ni mtanzania ambaye ni mwandishi ya mhariri wa magazeti mengi yanayotoka kila mwezi ikiwemo gazeti la Fab Sugar na East African Women and Business Entrepreneurs. Amefanya kazi nyingi uandishi za ndani ya Tanzania na nje ya nchi.

Biografia[hariri | hariri chanzo]

Amezaliwa Dar es Salaam Tanzania, Rayah Kitule amelelewa na mama yake pekee eneo la Mikocheni, ambapo alianza “kazi ya utangazaji na uandishi” kwa kusoma kwa sauti na kufanya rejea akiwa na umri wa miaka kumi.

Pia anaendesha blogspot yake ya mitindo, na alianzisha kampuni yake ya uzalishaji, inayoitwa Purple Effect.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]