Hussein Mohamed Bashe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Hussein Mohamed Bashe (amezaliwa 26 Agosti 1975) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Nzega Mjini kwa mwaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017

[1]

  1. https://peoplepill.com/people/hussein-mohamed-bashe/