Justinian Rweyemamu
Mandhari
Justinian F. Rweyemamu (28 Septemba 1942 - 30 Machi 1982) alikuwa mmoja kati ya wanauchumi wa kwanza Tanzania.[1]
Elimu
[hariri | hariri chanzo]Mwaka 1958 alijiunga na St. Thomas More College Ihungo, shule ya sekondari ya Kikatoliki iliyopo Bukoba, Mkoa wa Kagera, mpaka 1961 alipohitimu.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu wasifu wa Mtanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |