Janeth Magufuli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search


Janeth Magufuli
AmezaliwaJaneth
1960s
Chama cha siasaCCM
DiniKanisa Katoliki

Janeth Magufuli ni mke wa rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli.

Anatumikia kama mke wa Rais wa awamu ya tano Tanzania tangu Novemba 2015.[1]

Janeth Magufuli awali alifanya kazi kama mwalimu wa shule ya msingi kwa zaidi ya miaka ishirini.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]