Abdisalaam Issa Khatib

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Abdisalaam Issa Khatib (amezaliwa tar. 9 Juni 1940) ni mbunge wa jimbo la Makunduchi katika bunge la kitaifa tangu 1995 huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Abdisalam Issa Khatib (10 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo[hariri | hariri chanzo]