Feetham Filipo Banyikwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Feetham Filipo Banyikwa (amezaliwa tar. 3 Oktoba 1947) ni mbunge wa jimbo la Ngara katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Feetham Filipo Banyikwa (13 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.