Nenda kwa yaliyomo

George Boniface Simbachawene

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka George Simbachawene)

George Boniface Simbachawene (amezaliwa tar. 5 Julai 1968) ni mbunge wa jimbo la Kibakwe katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kibakwe kwa mwaka 20152020[1] [2] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017
  2. "Mengi kuhusu George Boniface Simbachawene". 13 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.