Maurus Gervase Komba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maurus Gervase Komba (1923 - 23 Februari 1996) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania.

Alipewa daraja ya upadri mnamo 1954, akateuliwa kama askofu wa Jimbo Katoliki la Tanga, Tanzania mnamo 1970 akajiuzulu mnamo 1988. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.