Jumaa Hamidu Aweso
Mandhari
Jumaa Hamidu Aweso (amezaliwa 22 Machi 1985) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM).
Alichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Pangani lililopo Mkoani Tanga mwaka 2015. Mwezi Oktoba 2017, aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, akichukua nafasi ya Mhe. Kamwelwe aliyeteuliwa kuwa Waziri.
Oktoba 2020, alipita bila kupingwa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mbunge wa Pangani kwa Awamu ya Pili, 2020-2025. Mwezi Desemba 2020, aliteuliwa kuwa Waziri wa Maji. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jumaa Hamidu Aweso kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |