Josaphat Louis Lebulu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Josaphat Louis Lebulu (amezaliwa 13 Juni 1942) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Laurean Rugambwa mwaka 1979.

Baada ya kuwa askofu wa Jimbo Katoliki la Same, tangu mwaka 1999, alikuwa askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Arusha hadi alipostaafu tarehe 27 Desemba 2017.

Aliwahi kuwa rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (1988-1994).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.