Abdullah Kassim Hanga
Mandhari
Abdullah Kassim Hanga
| Taarifa za jumla | |
|---|---|
| Jinsia | mume |
| Nchi ya uraia | Tanzania, Usultani wa Zanzibar |
| Jina halisi | Abdulla |
| Tarehe ya kuzaliwa | 1932 |
| Tarehe ya kifo | 1960s |
| Mahali alipofariki | Jamhuri ya Watu wa Zanzibar |
| Mwenzi | Lily Golden |
| Mtoto | Yelena Khanga |
| Lugha ya asili | Kiswahili |
| Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza, Kiswahili |
| Kazi | politician, waziri |
| Nafasi ilioshikiliwa | Waziri mkuu |
| Alisoma | Chuo Kikuu cha Oxford, Peoples' Friendship University of Russia |
| Elimu ya juu | political science |
| Mwanachama wa chama cha siasa | Afro-Shirazi Party |
| Dini | Uislamu |
| Political ideology | Umaksi |
Abdullah Kassim Hanga (1932–1969) alikuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar kuanzia tarehe 12 Januari 1964 hadi 27 Aprili 1964[1].
Aliuawa bila ya kusikilizwa kwa kesi yake iliyokuwa juu ya madai ya kufanya njama ya kupindua utawala wa Abedi Amani Karume mwaka 1967 nchini Tanzania.[2]
Mwanahabari wa Urusi Yelena Khanga ni binti yake.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "archive.ph". archive.ph. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-25. Iliwekwa mnamo 2022-10-11.
- ↑ Bakari, Mohammed Ali (2001). The Democratisation Process in Zanzibar: A Retarded Transition (kwa Kiingereza). GIGA-Hamburg. ISBN 978-3-928049-71-9.
- ↑ Khanga, Yelena; Jacoby, Susan (1994). Soul to Soul: A Black Russian Jewish Woman's Search for Her Roots (kwa Kiingereza). W.W. Norton. ISBN 978-0-393-31155-6.
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abdullah Kassim Hanga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |