Richa Adhia
Mandhari
Rachael Maria Adhia | |
Amezaliwa | 1 May 1988 Dar es Salaam, Tanzania |
---|---|
Nchi | Tanzania |
Majina mengine | Richa Adhia |
Kazi yake | Mwanamitindo, Mfanyabiashara |
Richa Maria Adhia (alizaliwa Dar es Salaam, 1 Mei 1988) alikuwa mshindi wa Miss Tanzania wa mwaka 2007[1].
Mama yake alizaliwa kisiwani Pemba, na baba yake alizaliwa Morogoro, Tanzania. Yeye alizaliwa jijini Dar es Salaam akakulia mjini Mwanza, Tanzania.
Richa alikuwa mshindi wa kwanza wa Miss Tanzania mwenye asili ya Uhindi.