Miss Tanzania
Mandhari
Miss Tanzania ni shindano la kitaifa la Urembo nchini Tanzania.[1]
Historia
[hariri | hariri chanzo]Shindano hilo ilianza mwaka 1967. Mara ya kwanza, washiriki katika shindano hilo wote walitoka jijini Dar es Salaam. Mshindi wa kwanza wa mwaka 1967 alikuwa Theresa Shayo.[2]
Washindi wa taji la Miss Tanzania na matokeo yao katika shindano la Urembo la Kimataifa
[hariri | hariri chanzo]- : Katajwa kama Mshindi
- : Katajwa katika 5 au 6 bora.
- : Katajwa katika 20 au 40 bora.
- : Katajwa kama mshindi wa taji maalum.
- Mshindi wa Miss Tanzania anawakilisha nchi katika shindano la Miss World. Asipokubalika (kutokana na umri) anatumwa mwingine.
Mwaka | Miss Tanzania | Matokeo katika shindano la Miss World | Taji maalumu |
---|---|---|---|
2025 | Tracy Nabukeera[3] | TBA | TBA |
2024 | Halikufanyika | ||
2023 | Halima Kopwe[4] | Top 40 |
|
2022 | Juliana Rugumisa | Unplaced | |
2019 | Sylvia Sebastian | Unplaced |
|
2018 | Queen Elizabeth Makune | Unplaced | |
2017 | Julitha Kabete | Unplaced |
|
2016 | Diana Edward Lukumai | Unplaced | |
2015 | Lilian Kamazima | Unplaced |
|
2014 | Happiness Watimanywa | Unplaced |
|
2013 | Brigitte Alfred Lyimo[5] | Unplaced |
|
2012 | Lisa Jensen | Unplaced |
|
2011 | Salha Kifai | Unplaced |
|
2010 | Genevieve Emmanuel Mpangala | Unplaced | |
2009 | Miriam Gerald | Unplaced | |
2008 | Nasreen Karim | Unplaced | |
2007 | Richa Adhia | Unplaced | |
2006 | Wema Sepetu | Unplaced | |
2005 | Nancy Sumari | Top 6 | |
2004 | Faraja Kotta | Unplaced | |
2003 | Sylvia Bahame | Unplaced | |
2002 | Angela Damas | Unplaced | |
2001 | Happiness Magese | Unplaced | |
2000 | Jacqueline Ntuyabaliwe | Unplaced | |
1999 | Hoyce Temu | Unplaced | |
1998 | Basila Mwanukuzi | Unplaced | |
1997 | Saida Kessy | Unplaced | |
1996 | Shose Sinare | Unplaced | |
1995 | Emily Adolf | Unplaced | |
1994 | Aina Maeda | Unplaced | |
1967 | Theresa Shayo | Unplaced |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Miss Tanzania pageant". Jihabarishe (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-05-14.
- ↑ "Miss Tanzania - Wikipedia". wiki.alquds.edu (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-02.
- ↑ "Tracy’s inspiring story: From commercial modelling to Miss Tanzania", The Citizen. (en)
- ↑ "Halima Kopwe aibuka Miss Tanzania 2022".
- ↑ "Challenge Winners Announced!". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-09-30. Iliwekwa mnamo 2013-09-27.