Miss World
Miss World ni shindano la urembo la kimataifa, ambalo lilianzishwa nchini Uingereza na Eric Morley mwaka 1951. Shindano hilo ni la zamani kuliko mashindano mengine ya urembo ya kimataifa.
Baada ya kifo ya Eric mwaka wa 2000, Mjane wake, Julia Morley, ndiye kachukuwa nafasi ya mkurugenzi mtendaji wa mashindano hayo.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Karne ya 20
[hariri | hariri chanzo]Mwaka wa 1951, kulikuwa na tamasha nchini Uingereza iliokuwa inaitwa "Festival of Britan". Katika tamasha hayo, Eric alipanga mashindano ya mrembo bora ambae atavaa vaazi ya kuoga inayoitwa "Bikini". Vyombo vya Habari walipojua kuhusu hiyo shindano, wakachapisha kwamba haya ni mashindano ya kimataifa kwahiyo ushindano hiyo ilianza kuitwa "Miss World".
Mshindi wa kwanza mwaka 1951 alikuwa Kerstin "Kiki" Hakansson kutoka nchini Uswidi. Mshindi huyu alipewa taji wakati alivaa kivaazi cha Bikini. Baada ya ushindano ya kwanza, Eric aliamua kupanga haya mashindano kila mwaka.
Mashindano hayo yalipata umaarufu duniani kote baada ya kuonyenshwa katika chaneli ya televisheni BBC.
Eric alifariki mwaka 2000, baada ya hapa mjane wake, Julia Morley kachukuwa nafasi ya mkurugenzi mtendaji wa mashindano hayo
Karne ya 21
[hariri | hariri chanzo]Mshindi wa kwanza kutoka Afrika Kusini kwa Sahara, alikuwa Agbani Darego wa Nigeria, ambaye alishinda mwaka 2001.
Washindi wa Miss World
[hariri | hariri chanzo]Mataifa yaliyopata ushindi kwa idadi
[hariri | hariri chanzo]Nchi | Idadi ya Ushindi | Mwaka |
---|---|---|
India | 6 | 1966, 1994, 1997, 1999, 2000, 2017 |
Venezuela | 1955, 1981, 1984, 1991, 1995, 2011 | |
Jamaica | 4 | 1963, 1976, 1993, 2019 |
United Kingdom | 1961, 1964, 1965, 1983 | |
South Africa | 3 | 1958, 1974, 2014 |
United States | 1973, 1990, 2010 | |
Iceland | 1985, 1988, 2005 | |
Sweden | 1951, 1952, 1977 | |
Czech Republic | 2 | 2006, 2023 |
Poland | 1989, 2021 | |
Puerto Rico | 1975, 2016 | |
China | 2007, 2012 | |
Russia | 1992, 2008 | |
Peru | 1967, 2004 | |
Austria | 1969, 1987 | |
Argentina | 1960, 1978 | |
Australia | 1968, 1972 | |
Netherlands | 1959, 1962 | |
Mexico | 1 | 2018 |
Spain | 2015 | |
Philippines | 2013 | |
Gibraltar | 2009 | |
Ireland | 2003 | |
Turkey | 2002 | |
Nigeria | 2001 | |
Israel | 1998 | |
Greece | 1996 | |
Trinidad and Tobago | 1986 | |
Dominican Republic | 1982 | |
Kigezo:Country data Guam | 1980 | |
Bermuda | 1979 | |
Brazil | 1971 | |
Grenada | 1970 | |
Finland | 1957 | |
Germany | 1956 | |
Egypt | 1954 | |
France | 1953 |
Picha za washindi
[hariri | hariri chanzo]-
Miss World 2016 Stephanie Del Valle Template loop detected: Kigezo:Flag
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Sanghani, Radhika (Desemba 19, 2014). "Miss World ditches 'sexist bikini round' after 63 years". The Telegraph. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-01-12. Iliwekwa mnamo Juni 27, 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)Kigezo:Cbignore - ↑ 2.00 2.01 2.02 2.03 2.04 2.05 2.06 2.07 2.08 2.09 2.10 2.11 2.12 2.13 2.14 2.15 2.16 2.17 2.18 2.19 2.20 2.21 2.22 2.23 2.24 2.25 2.26 2.27 2.28 2.29 2.30 2.31 Rose, D. (2010). Sexually, I'm More of a Switzerland. Simon and Schuster. ku. 149–157. ISBN 978-1-4391-3149-7. Iliwekwa mnamo Juni 27, 2016.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)