Nenda kwa yaliyomo

Rolene Strauss

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Strauss mwaka 2018

Rolene Strauss (alizaliwa 22 Aprili, 1992) ni malkia wa urembo kutoka nchini Afrika Kusini ambaye alishinda Miss South Africa mnamo mwaka 2014 na baadaye alitawazwa kuwa Miss World mnamo mwaka 2014.

Pia yeye ni mwanamke wa tatu kutoka Afrika Kusini kutawazwa kuwa Miss World, baada ya Penelope Anne Coelen mnamo mwaka 1958 na Anneline Kriel mwaka 1974.[1][2][3][4]



  1. "Rolene Strauss Has Much To Celebrate!". People Magazine. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-10. Iliwekwa mnamo Juni 25, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Rolene Strauss". Facebook. 2014.
  3. "Dit voel net soos 'n droom" (kwa Kiafrikana). Iliwekwa mnamo 7 Februari 2015.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "10 Things You Didn't Know About The South African Miss World: Rolene Strauss". Buzz South Africa. 18 Desemba 2014. Iliwekwa mnamo Juni 25, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rolene Strauss kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.