Caguas, Puerto Rico
Mandhari
Caguas ni mji wa tano kwa ukubwa huko Puerto Rico ambayo ni eneo maalum la Marekani kwenye kisiwa hicho cha Karibi.
Idadi ya wakazi ni 127,244 (2020).
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Caguas, Puerto Rico kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |