Muhammad Amour Chomboh
Mandhari
(Elekezwa kutoka Muhammad Chomboh)
Muhammad Amour Chomboh (amezaliwa Makunduchi kisiwani mwa Zanzibar, 25 Januari 1953) ni mbunge wa jimbo la Magomeni katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Maisha yake
[hariri | hariri chanzo]Mh. Chomboh ni Mwislamu wa aina ya Sunni. Ameoa na wana watoto wanane.
Historia ya kazi yake
[hariri | hariri chanzo]| Jina la kampuni | Cheo | Kuanzia | Hadi |
|---|---|---|---|
|
Meneja wa stoo | 1972 | 1979 |
|
Mkurugenzi | 1986 | 1990 |
|
Mkurugenzi | 1991 | 1994 |
|
Meneja wa Tawi (Znz) | 1994 | 1999 |
|
Meneja wa Fedha | 2000 | 2005 |
|
Mbunge kutoka Magomeni | 2005 | 2015 |
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mengi kuhusu Muhammad Amour Chomboh". 19 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
- Tovuti ya Bunge la Tanzania
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Muhammad Amour Chomboh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |