Al Noor Kassum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Al Noor Kassum (alizaliwa 11 Januari 1924 - 18 Novemba 2021) alikuwa mwanasiasa, mwanauchumi na mjasiriamali wa Mtanzania. Anajulikana kwa kuchangia katika maendeleo ya uchumi na biashara nchini Tanzania[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Kassum, Al Noor (20 August 2007). "Africa's Winds of Change: Memoirs of an International Tanzanian". I.B. Tauris. Iliwekwa mnamo 4 March 2013.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Al Noor Kassum kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.