Wolfgang Dourado

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wolfgang Dourado alikuwa Mwanasheria Mkuu wa zamani, na baadaye Jaji mkuu wa Zanzibar . [1] [2]

Baada ya Mapinduzi ya Zanzibar ya 1964, Dourado alichagua kubaki zanzibar na kuiunga mkono Serikali ya Mapinduzi huku wakoloni wengine wakikimbia. [3] [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Haygood, Wil (15 May 1984), "Tanzania Freed Kin, Local Man Reports", Pittsburgh Post-Gazette (Block Communications): 18, iliwekwa mnamo 1 August 2010  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. Mwakikagile, Godfrey (2006). Tanzania Under Mwalimu Nyerere: Reflections on an African Statesman. Godfrey Mwakikagile. ku. 181. ISBN 0-9802534-9-7. 
  3. Burgess, G. Thomas (2018), "Memory, Liberalism, and the Reconstructed Self: Wolfango Dourado and the Revolution in Zanzibar", W.C. Bissell & M-A. Fouéré (eds.), Social Memory, Silenced Voices, and Political Struggle: Remembering the Revolution in Zanzibar (Mkuki na Nyota Publishers): 109–144 
  4. Koenings, Nathalie Arnold (2018-04-24), ""For Us It's What Came After"", Social Memory, Silenced Voices, and Political Struggle (Mkuki na Nyota Publishers): 145–190, ISBN 978-9987-08-346-6, doi:10.2307/j.ctvh8r429.11, iliwekwa mnamo 2020-05-26 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wolfgang Dourado kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.