Zubeir Ali Maulid

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Zubeir Ali Maulid (amezaliwa 25 Machi, 1968) ni mbunge wa jimbo la Kwamtipura katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Zubeir Ali Maulid (19 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.