Nenda kwa yaliyomo

John Raphael Bocco

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Raphael Bocco)
Raphael Bocco
Maelezo binafsi
Jina kamiliJohn Raphael Bocco
tarehe ya kuzaliwa5 Agosti 1989 (1989-08-05) (umri 35)
mahali pa kuzaliwaTanzania
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasaSimba S.C.
Youth career
2008–2017Azam F.C.
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
2017Simba S.C.
Timu ya Taifa ya Kandanda
2009Tanzania
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only.

† Appearances (Goals).

‡ National team caps and goals correct as of 24 March 2013

John Raphael Bocco, alizaliwa 5 Agosti 1989 ni mchezaji wa kandanda Mtanzania anayecheza kama mshambuliaji katika klabu ya Simba S.C. na timu ya Taifa ya Tanzania.

John Raphael Bocco ni maarufu kama Adebayor, alianza kucheza soka katika timu ya Kijitonyama FC, mwaka 2007 alijiunga na Azam FC na kuisaidia timu hiyo kupanda daraja. John Raphael Bocco ni miongoni mwa wachezaji wanne ambao walifanikiwa kupanda Ligi Kuu ya Vodacom mwaka 2008 wakiwa na Azam FC, mwingine ni Sure Boy.

Ana asili ya watu wa Mkoa wa Kagera kwa kuwa wazazi wake ndipo walipotokea.

Kazi katika ngazi ya klabu

[hariri | hariri chanzo]

Akiwa mzaliwa wa Dar es Salaam, Bocco alianza safari yake ya michezo katika klabu ya Azam F.C., aliyoitumikia kwa takriban miaka kumi.[1]

Mwaka 2017 mwezi Juni alisaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Simba S.C.[2].

Kazi katika Timu ya Taifa

[hariri | hariri chanzo]

Alifanikiwa kuichezea timu ya taifa kwa mara ya kwanza mwaka 2009,[1] na amekua akicheza mara kwa mara katika michuano ya kufuzu kushiriki fainali za kombe la dunia.

Magoli katika michezo ya kimataifa

[hariri | hariri chanzo]
Alama na matokeo yanaorodhesha magoli aliyoifungia Tanzania.

.[1]

Magoli Tarehe Uwanja Mpinzani Alama Matokeo Mashindano
1. 8 Novemba 2009 Ali Mohsen Al-Muraisi Stadium, Sana'a, Yemen  Yemen 1–0 1–1 Friendly
2. 8 Desemba 2009 Nyayo National Stadium, Nairobi, Kenya  Eritrea 1–0 4–0 2009 CECAFA Cup
3. 30 Novemba 2010 National Stadium, Dar es Salaam, Tanzania  Somalia 2–0 3–0 2010 CECAFA Cup
4. 25 Novemba 2012 Mandela National Stadium, Kampala, Uganda  Sudan 1–0 2–0 2012 CECAFA Cup
5. 2–0
6. 1 Desemba 2012 Lugogo Stadium, Kampala, Uganda  Somalia 3–0 7–0 2012 CECAFA Cup
7. 4–0
8. 3 Desemba 2012 Lugogo Stadium, Kampala, Uganda  Rwanda 2–0 2–0 2012 CECAFA Cup
9. 18 Mei 2014 National Stadium, Dar es Salaam, Tanzania  Zimbabwe 1–0 1–0 2015 Africa Cup of Nations qualification
10. 1 Jula 2014 Botswana National Stadium, Gaborone, Botswana Kigezo:Country data BOT 2–4 2–4 Friendly
11. 4 Julai 2015 Nakivubo Stadium, Kampala, Uganda  Uganda 1–0 1–1 2016 African Nations Championship qualification
12. 22 Novemba 2015 Addis Ababa Stadium, Addis Ababa, Ethiopia  Somalia 1–0 4–0 2015 CECAFA Cup
13. 4–0
14. 30 Novemba 2015 Addis Ababa Stadium, Addis Ababa, Ethiopia  Ethiopia 1–0 1–1 2015 CECAFA Cup

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 John Raphael Bocco at National-Football-Teams.com
  2. Ismael Kiyonga (7 Juni 2017). "Former Azam captain Bocco joins Simba". Kawowo Sports. Iliwekwa mnamo 8 Machi 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Raphael Bocco kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.