Simon Mbilinyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Simon Mbilinyi

Waziri wa 8 wa Fedha Tanzania
Muda wa Utawala
1995 – 1996
mtangulizi Jakaya Kikwete
aliyemfuata Daniel Yona

utaifa Tanzanian
chama CCM
ndoa Prof. Majorie Mbilinyi
mhitimu wa Cornell University (BSc)
Stanford University (MA)
UDSM (PhD)

Simon Mbilinyi alikuwa mbunge katika jimbo la Peramiho nchini Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi, pia alikuwa balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Luxemburg kuanzia mwaka 1985 hadi 1989 na aliwahi kuhudumu kama waziri wa fedha kuanzia mwaka 1995 hadi 1996.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Member of Parliament CV. Parliament of Tanzania (2010). Jalada kutoka ya awali juu ya 2 January 2014. Iliwekwa mnamo 2 January 2014.