Steven J. Bwana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Steven Bwana ni jaji Mtanzania na mwanachama wa akiba wa Mahakama ya Khmer Rouge. [1]

Alikuwa msajili wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania (1990-1994), na Jaji Mfawidhi wa Divisheni ya Biashara ya Mahakama Kuu ya Tanzania kuanzia mwaka 1999 hadi 2006. Alikuwa Jaji wa Rufani katika Mahakama ya Rufani ya Tanzania.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Steven J. Bwana: Tanzanian judge | Biography, Facts, Information, Career, Wiki, Life. peoplepill.com. Iliwekwa mnamo 2023-01-24.
  2. https://worldcat.org/identities/lccn-n85110022/