Nelly Kamwelu
Nelly Alexandra Kamwelu (amezaliwa 1993) ni Mtanzania ni mwanamitindo na malkia wa urembo Miss Universe Tanzania na Miss Southern Africa International katika mwaka 2011. Aliweza kuwakilisha nchi yake katika Miss Universe 2011 ndani ya SãoPaulo, Brazil, Miss International 2011 ndani ya China, Miss Earth 2011 ndani ya Manila, Philippines, na Miss Tourism Queen International tena China.
Ni malkia pekee katika nchi yake pekee aliyeweza kumaliza tuzo nne za Grand Slam Pagents (Miss universe, Miss International, Miss Earth na Miss Tourism Queen International) ndani ya mwaka mmoja.
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Kamwelu alizaliwa na Mtanzania Baba na Mrusi Mama. Alianza kushiriki katika ugombeaji wa urembo za kimkoa mwaka 2008 na mwishowe alifanikiwa kunyakua nafasi ya pili.Ilala 2008[1]baada ya kuweza kushiriki katikaMiss Tanzania mwaka huohuo lakini hakupata.
Nelly alishirikishwa katika nyimbo za video za video za waimbaji wa kitanzania kabla hajashiriki Miss Universe 2011.Wimbo uliachiwa YouTubewakati alipokuwa anashiriki katika tamasha la urembo São Paulo, Brazil.[2]
Aliweza pia kuwakilisha Tanzania in Miss International 2011 ambayo ilifanyika China na Miss Earth 2011 katika Manila,Philippiness lakini hakupata.
Mwishoni aliweza kuwakilisha nchi yake katika Miss Tourism Queen International 2011 ambayo ilifanyika katika Xian, China ambapo alichukua nafasi ya nne.
Miss Universe Tanzania
[hariri | hariri chanzo]Kamwelu alishinda katika toleo la tano laMiss Universe Tanzania pageant in May 2011.[3] na kuwakilisha nchi yake katikaMiss Universe 2011na kuwa king’ara katikaSão Paulo, Brazil. Japo kuwa hakushinda lakini aliweza kuwateka kwa vazi lake kitamaduni ambalo kwa hilo aliweza kupokea sifa kedekede.[4]
Nelly alirudisha nafasi ya pili ya Miss Universe Tanzania kwa kushiriki katikaMiss International 2011 na pia aliweza kurudisha nafasi ya kwanza kwa kurudi nchi kwakeChengdu, China kuwakilisha Tanzania katika Miss Earth 2011.
Miss Southern Africa International
[hariri | hariri chanzo]Kamwelu alithaminiwa na Tanzania Tourist Board kuwakilisha nchi katikaMiss Southern Africa International mashindano yaliyofanyika Ndola, Zambia kama sehemu ya Zambia International Trade Fair.Alijipatia wadhifa[5]kwa kuwashinda washiriki sita na kushinda Evening Gown award.[6]
Miss Tourism Queen International
[hariri | hariri chanzo]Katika mwaka wa mwisho(2011),Nelly aliendelea kushiriki katika Miss Tourism Queen International 2011na kuwa mashindano yake ya kwanza ndani ya nchi yake na kuibuka king’ara kwa kushika nafasi ya tano katika mashindano ya mwisho.[7]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ SAJUM (2008-06-28). "Bambucha: MISS ILALA 2008". Nunanunaootoo.blogspot.com. Iliwekwa mnamo 2012-09-29.
- ↑ "MISSOSOLOGY • View topic - MUSIC VIDEO of Miss Tanzania 2011 Nelly Kamwelu for HATERS!". Missosology.info. Iliwekwa mnamo 2012-09-29.
- ↑ "NELLY KAMWELU WINS MISS UNIVERSE TANZANIA 2011…!!!". Hartmannonlinetz.com. 2011-05-28. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-01-26. Iliwekwa mnamo 2012-09-29.
- ↑ "Miss Universe 2011: Stunning Contestants in National Costumes (PHOTOS)". Ibtimes.com. 2011-09-09. Iliwekwa mnamo 2012-09-29.
- ↑ "Tanzanian crowned Miss Southern Africa International". Thecitizen.co.tz. 2011-07-07. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-23. Iliwekwa mnamo 2012-09-29.
- ↑ "Showstoppers! Our African Beauty Queens show off their National Costumes at the 2011 Miss Universe pageant". Bella Naija. 2011-09-09. Iliwekwa mnamo 2012-09-29.
- ↑ "Global Beauties – Miss TQI 2011 Special » MTQI 2011: Thailand wins its 3rd Grand Slam title in China". Globalbeauties.com. 2011-12-29. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2012-09-29.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nelly Kamwelu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |