Nenda kwa yaliyomo

Miss Universe Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Miss Universe Tanzania ni shindano la urembo lililofanyika kwa mara ya kwanza mwaka 2007. Ni shindano la kitaifa la kuchagua mwakilishi wa shindano la Miss Universe.[1][2]

Mshindi wa kwanza alikuwa Flaviana Matata.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Mkurugenzi mkuu wa hayo mashindano ni Maria Sarungi Tsehai ambae pia ni mwanaharakati. Mashindano ya kwanza ya Miss Universe Tanzania ilifanyika mwaka 2007 jijini Dar-es-Salaam.

Mshindi wa kwanza likuwa Flaviana Matata, ambae alishiriki katika mashindano la kimataifa, Miss Universe mwaka 2007. Flaviana alitengeneza historia kwa kuwa mshiriki wa kwanza kabisa kataika hayo mashindo kushiriki na upara [3]

Washindi wa taji la Miss Universe Tanzania

[hariri | hariri chanzo]
  •       : Mshindi wa Miss Universe
  •       : Katajwa katika tano bora
  •       : Katajwa katika 10 au 20 bora
  •       : Katajwa kama mshindi wa tuzo fulani
Mshindi wa Miss Universe Tanzania anashiriki nchi yake katika shindano la Miss Universe. Kama mshindi akishindwa kushiriki mshindi wa pili anachaguliwa kama Miss Universe Tanzania
Mwaka Mkoa Miss Universe Tanzania Matokeo katika shindano la Miss Universe Tuzo maalum Notes
2019 Morogoro Shubila Stanton[4] Unplaced
2018| colspan=5 style="background: #ececec; color: grey; vertical-align: middle; text-align: center; " class="table-na" | Did not compete
2017 Dar es Salaam Lilian Maraule[5] Unplaced
2016 Dodoma Jihan Dimachk[6] Unplaced
2015 Dar es Salaam Lorraine Marriot Unplaced
2014 Dodoma Nale Boniface[7] Unplaced
Dar es Salaam colspan=2 style="background: #ececec; color: grey; vertical-align: middle; text-align: center; " class="table-na" | Did not compete Withdrawal — Getting accident, a Runner-up, Nale Boniface took over to represent Tanzania at Miss Universe 2014 in the United States.
2013 Dar es Salaam Betty Boniphace Unplaced
2012 Dar es Salaam Winfrida Dominic[8] Unplaced
2011 Dar es Salaam Nelly Kamwelu Unplaced
  • Best National Costume (6th Runner-up)
2010 Arusha Nuya Hellen Dausen Unplaced
2009 Mwanza Illuminata James Wize Unplaced
2008 Arusha Amanda Ole Sululu Unplaced
2007 Dar es Salaam Flaviana Matata Top 10 Maria Sarungi Tsehai Directorship — Flaviana named as the Top sexiest Women by Globalbeauties 2007.
  1. "Shubila Stanton crowned Miss Universe Tanzania 2019". The Times of India. Oktoba 14, 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-01-27. Iliwekwa mnamo Mei 14, 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Lilian Ericaah Maraule crowned Miss Universe Tanzania 2017". The Times of India. Novemba 1, 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-05-18. Iliwekwa mnamo Mei 14, 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Jihan Dimachk is Miss Universe Tanzania 2016". The Great Pageant Community. 26 Novemba 2016. Iliwekwa mnamo 27 Mei 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Shubila Stanton crowned Miss Universe Tanzania 2019". The Times of India. Oktoba 14, 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-01-27. Iliwekwa mnamo Mei 14, 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Lilian Ericaah Maraule crowned Miss Universe Tanzania 2017". The Times of India. Novemba 1, 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-05-18. Iliwekwa mnamo Mei 14, 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Jihan Dimachk is Miss Universe Tanzania 2016". The Great Pageant Community. 26 Novemba 2016. Iliwekwa mnamo 27 Mei 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. 7.0 7.1 "Ajali yamzuia Miss Universe TZ kushiriki mashindano ya kimataifa, nafasi yake yachukuliwa na mshindi wa 2". Bongo5. Desemba 24, 2014. Iliwekwa mnamo Mei 23, 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. "Winfrida Crowned Miss Universe", allAfrica, 1 July 2012.