Mwinyi Kazimoto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mwinyi Kazimoto (amezaliwa tarehe 25 Desemba 1988) ni mchezaji wa soka wa Tanzania. Anacheza kama kiungo wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Simba S.C.. Yeye ni mwanachama wa timu ya mpira ya miguu nchini Tanzania katika kufuzu kwa Afrika kimataifa mwaka wa 2013.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwinyi Kazimoto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.