Nenda kwa yaliyomo

Juma Jabu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Juma Jabu
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 28 Decemba 1988
Mahala pa kuzaliwa    Dar es Salaam, Tanzania
Urefu 1.67 m
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Tanzania

* Magoli alioshinda

Juma Jabu, (alizaliwa 28 Desemba 1988), alikua ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Tanzania, ambaye alicheza kama beki wa kushoto.

Alichezea klabu mbalimbali nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na Mwadui United, Kagera Sugar, Coastal Union, KMC, Moro United na Simba SC.[1]

Pia, Jabu alishiriki katika mashindano mbalimbali ya kimataifa, akichezea Timu ya Taifa ya Tanzania ikiwa ni pamoja na robo fainali ya Kombe la CECAFA 2011, ambapo Tanzania ilipata ushindi wa bao 1 - 0 dhidi ya Malawi.[2]


  1. Benjamin Strack-Zimmermann. "Juma Jabu (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-12.
  2. Benjamin Strack-Zimmermann. "CECAFA Cup (2011) | Final Tournament | Quarter Finals". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-12.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juma Jabu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.