Kajala Masanja
Mandhari
Kajala Frida Masanja (alizaliwa 1985) ni mwigizaji wa filamu wa nchini Tanzania.[1] Alionekana na marehemu Steven Kanumba katika filamu ya mwaka 2012 Kijiji Cha Tambua Haki.
Aliolewa na mfanyakazi wa benki wa zamani Faraji Chambo.[2][3] Pia ni mama wa mtoto mmoja anayeitwa Paula. Kwa sasa ameolewa na Harmonize.
Orodha ya filamu
[hariri | hariri chanzo]- Kigodoro
- Jeraha la Moyo
- House Boy
- Vita Baridi
- House Girl & Boy
- Dhuluma
- Shortcut
- Basilisa
- You Me and Him
- Devils Kingdom
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Tanzania: Court Sets Free Bongo Movies Actress Kajala". allAfrica.com. Iliwekwa mnamo 2018-01-17.
- ↑ "Kajala Akwama Pesa Ya Kumtoa Mumewe Jela | Magazeti ya leo| Tanzania News". Tanzania Today. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-01-18. Iliwekwa mnamo 2018-01-17.
- ↑ https://globalpublishers.co.tz/kajala-aitifua-ndoa-ya-p-funk
- ↑ "Kajala Masanja | Actor, — Bongo Movies - Buy Tanzania Movies and DVD's Online". www.bongocinema.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-10-05. Iliwekwa mnamo 2025-08-24.
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kajala Masanja kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
.