Wikipedia:Makala za msingi 1000 - orodha ya awali iliyopanuliwa
Kuna Kamusi Elezo za Wiki za lugha mbalimbali. Baadhi ni kubwa na nyingine bado ni ndogo ziko mbioni kuendelezwa. Kamusi elezo zote zinahitaji makala fulani za msingi.
Hii ni orodha ya makala za msingi kama 1000 ambazo kila kamusi elezo inahitaji. Ilianzishwa kutokana na orodha ya makala za msingi katika Meta:wikipedia iliyotengenezwa kama ushauri kwa wikipedia zote. Waanzilishaji wa wikipedia hii ya Kiswahili waliongeza majina na vichwa ambavyo walifikiri ni muhimu kwa mtazamo wa Kiafrika.
- Orodha hii ya asili (mnamo mwaka 2006) inawekwa nyuma kidogo kwa muda kwa sababu ya matatizo ya lugha ndani yake. Hata hivyo inafaa kuangaliwa kwa majina na vichwa vya Kiafrika.
- Kwa sasa orodha ya Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo inaonekana kutoka Mwanzo inayoonesha orodha ya Meta-Wiki ya Februari 2008.
Dhana za msingi
[hariri chanzo]Wanyama, Ndege, Wadudu, Mimea
[hariri chanzo]- Aina za wanyama
- Hifadhi za taifa
- Aina za ndege
- Korongo
- Mbuni
- Kwale
- Kanga
- Njiwa
- Kunguru
- Tai
- Kipanga
- Yangeyange
- Kibisi
- Tandawala
- Kitwitwi
- Shakwe
- Firigogo
- Kasuku
- Shorobo
- Kekeo
- Bundi
- Kirukanjia
- Teleka
- Mdiria
- Zuwakulu
- Kigong'ota
- Kipozamataza
- Kipimanjia
- Mbayuwayu
- Kurumbiza
- Shore
- Kucha
- Kidenenda
- Kolokolo
- Kinengenenge
- Domofupi
- Bwiru
- Mbwigu
- Kipwe
- Gude
- Kunguru
- Kuzi
- Chozi
- Korobindo
- Kwera
- Kweche
- Mtolondo
- Mshigi
- Tongo
- Chiriku
- Kibarabara
- Aina za mimea
Falsafa na Dini
[hariri chanzo]Sentensi chache kuhusu watu 1000 mashuhuri
- Ali Farka Toure
- Fela Kuti
- Siti Binti Saad
- Hugh Masekela
- John Lennon
- Oliver Mtukudzi
- Bi Kidude
- Bob Marley
- Hukwe Zawose
- Dakta Nathan
- Peter Tosh
- Lucky Dube
- Tracy Chapman
- Angelique Kidjo
- Elton John
- Bruce Springsteen
- Lokua Kanza
- Gilberto Gil
- Manu Chao
- John Coltrane
- Stevie Wonder
- Eminem
- Femi Kuti
- Mbaraka Mwinshehe
- Tshala Muana
- Mpongo Love
- Dorothy Masuka
- Cesaria Evora
- Zap Mama
- Franco Luambo Makiadi
- Tabou Ley
- Fadhili William
- Fundi Konde
- Sam Mangwana
- Ella Fitzgerald
- Sarah Vaughan
- Abdulla Ibrahim
- Keith Jarret
- Nat King Cole
- Natalie Cole
- Salif Keïta
- Marijani Rajab
- Wolfgang Amadeus Mozart
- Miriam Makeba
- Manu Dibango
- Michael Jackson
- Geofrey Oryema
- Paul Simon
- Carola Kinasha
- Peter Gabriel
- Remmy Ongala
- Baaba Maal
- Tupac Shakur
- Johann Sebastian Bach
- Joseph Hill
Wanasayansi
[hariri chanzo]Wavumbuzi
[hariri chanzo]- Shaban Robert
- Abulrazak Gurnah
- Ebrahim Hussein
- Euphrase Kezilahabi
- Shaffi Adam Shaffi
- Muhammed Said Abdulla
- William Shakespeare
- Binyavanga Wainaina
- Shafi Adam Shafi
Wanasiasa
[hariri chanzo]- Mwalimu Julius Nyerere
- Kwame Nkrumah
- Jomo Kenyatta
- Shaka Zulu
- Nelson Mandela
- Martin Luther King
- Graca Machel
- Abdulrahaman Babu
- Thomas Sankara
- Samora Machel
- Kenneth Kaunda
- Milton Obote
- Thabo Mbeki
- Patrice Lumumba
- Agostinho Neto
- Leopold Senghor
- Ellen Johnson-Sirleaf
- Bill Clinton
- Sekou Toure
- Fidel Castro
- Steve Biko
- Robert Mugabe
- Yoweri Museveni
- Kiiza Besigye
- Getrude Mongella
- Winnie Mandela
- Hillary Clinton
- Barack Obama
- John F. Kennedy
- Nebuchadnezzar
- Haile Selassie
- Koigi Wamwere
- Che Guevara
Wanasiasa wa Kinazi na Kifashisti
[hariri chanzo]- Adolf Hitler
- Benito Mussolini
- Idd Amini
- Ian Smith
- Jon Vorster
- Duke of Windsor
- Prescott Bush
- Ariel Sharon
- Francisco Franco
- Augusto Pinochet
- Jenerali Petain
- Kurt Waldheim
- Hermann Goering
- Harold MacMillan
Wanazuoni Wanaharakati/Wanamapinduzi
[hariri chanzo]- Walter Rodney
- Dedan Kimathi
- Nelson Mandela
- David Icke
- Alice Walker
- Credo Mutwa
- Kwame Nkrumah
- Martin Luther King
- Amilcar Cabral
- Agostinho Neto
- Franz Fanon
- Jaramogi Oginga Odinga
- Marcus Garvey
- W E B Dubois
- Julius K Nyerere
- Cheikh Antar Diop
- Aime Cesaire
Wanaharakati wenye siasa kali
[hariri chanzo]- Ken Saro-Wiwa
- Steve Biko
- Malik Zulu Shabazz
- Stokley Carmichael/Kwame Ture
- Louis Farrakhan
- Angela Davis
- Malcolm X
Viongozi wa Kimataifa
[hariri chanzo]Wanawake katika historia
[hariri chanzo]- Cleopatra
- Mbuya Nehanda
- Indira Gandhi
- Sojourner Truth
- Malkia Nzingha Mbandi
- Nefertiti
- Yaa Asantewaa
- Bibi Titi Mohammed
- Malkia Elizabeti wa I (wa Uingereza)
- Malkia Viktoria (wa Uingereza)
- Malkia Makeda wa Sheba (wa Ethiopia)
- Mtakatifu Joan
- Rachel Carson
- Marie Curie
- Emma Goldman
- Mary Harris (Mother Jones)
- Frida Kahlo
- Rosa Luxemburg
- Florence Nightingale
- Rosa Parks
- Eva Peron
- Harriet Tubman
- Corretta Scott King
- Mekatilili Wa Menza
- Ruth Abwao
- Syotune Wa Kathukye
- Saraounia
- Efua T Sutherland
- Bessie Head
- Murogi wa Kagogo
- Kusadikika
- Kufikirika
- Rosa Mistika
- Mtawa Mweusi
- Safari ya Utumwa
- Paradise
- By the Sea
- Alfu Lela U Lela
- Kitabu cha Kimisri cha Wafu
- Kurani
- Biblia
- Bhagavad Gita
- Tao Te Ching
- Visa vya Esopo
- Invisible Cities
Wacheza Filamu
[hariri chanzo]Watengeneza Filamu
[hariri chanzo]
Filamu
[hariri chanzo]- Sarafina
- Shamba kubwa
- Yomba Yomba
- Star Wars
- Invasion U.S.A
- The Return of Mummies
- Crash
- Coming to America
Nchi, Sheria, na Siasa
[hariri chanzo]Jedwali lenye sentensi fupi kuhusu nchi zilizopo kwenye orodha hii: http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_countries
- Azimio la Arusha
- Manifesto ya Kikomunisti
- Katiba
- Azimio la Haki za Mtu
- Sheria
- Magna Carta
- Azimio la Kimataifa juu ya Haki za Binadamu
Siasa
[hariri chanzo]- Uanakisti
- Anaki
- Ujamaa
- Ukomunisti
- Ubepari
- Ubeberu
- Demokrasia
- Udikteta
- Ufashisti
- Itikadi kali
- Utandawazi
- Uliberali
- Ufalme
- Utaifa
- Ubaguzi wa rangi
- Jamhuri
- Ugawaji wa madaraka
- Chama cha siasa
- Serikali ya kidini
Vyama vya siasa
[hariri chanzo]- African National Congress
- Kenya African National Union
- Chama cha Mapinduzi
- Labour Party -UK
- Movement for Multiparty Democracy
- South West African People's Organization - Namibia
- Democratic Party - USA
- Chama cha Demokrasia na Maendeleo
- Republican Party - USA
- Civic United Front - Tanzania
- Zimbabwe African National Union
- Tanzania Labour Party
Maarifa ya nyumbani
[hariri chanzo]- Mkate
- Kahawa
- Mahindi
- Pamba
- Kunde za soya
- Ngano
- Shayiri
- Tunda
- Mboga za majani
- Tumbaku
- Jibini
- Pombe
- Chai
- Mchele
- Injera
- Ugali
- Mchuzi
- Kande
- Vifaa vya kupikia
- Malaria
- Utapiamlo
- Uti wa mgongo
- Mafua ya ndege
- Ukimwi
- Kifua kikuu
- Shinikizo la damu
- Kansa
- Ngiri maji
Kama sentensi tatu hivi kwa kila bara:
Maeneo mengine
[hariri chanzo]
Milima, Mito, Maziwa, Maporomoko, Bahari, Mapango
[hariri chanzo]- Sahara
- Andes
- Mto Amazon
- Mto Nile
- Bahari ya Atlantiki
- Bahari ya Hindi
- Bahari ya Pasifiki
- Bahari ya Kusini
- Bahari ya Aktiki
- Bahari ya Mediteranea
- Bahari Nyeusi
- Bahari ya Kaskazini
- Bahari ya Baltiki
- Volkano
- Milima ya Himalaya
- Mlima Alps
- Mlima Kilimanjaro
- Mlima Kenya
- Mlima Meru
- Mto Mississippi
- Maporomoko ya Niagara
- Maporomoko ya Mosi oa Tunya (Viktoria)
- Ziwa Nyasa (Ziwa Malawi)
- Ziwa Tanganyika
- Ziwa Victoria
- Mapango ya Amboni
Maafa ya asili
[hariri chanzo]Miji mikubwa duniani -- vigezo: umuhimu wa kihistoria, idadi ya watu, ukubwa wa mji:
- Cairo
- Johannesburg
- Dar Es Salaam
- Dodoma
- London
- Paris
- Berlin
- Nairobi
- Lagos
- Abuja
- Cape Town
- Istanbul
- St. Petersburg
- Moscow
- Jerusalem
- Mecca
- Tokyo
- Athens
- Roma
- Shanghai
- Beijing
- New York
- Washington
- Bombay (Mumbai)
- Buenos Aires
- Seoul
- Jakarta
- Karachi
- Manila
- Sao Paulo
- Mexico City
- Dhaka
- Tehran
- Lima
- Bogota
- Bangkok
- Kinshasa
- Rio de Janeiro
- Baghdad
- Calcutta (Kolkata)
- Bangalore
- Tianjin
- Osaka
- Los Angeles
- Hong Kong
- Accra
- Windhoek
Fedha
[hariri chanzo]- Shilingi
- Dola ya Kimarekani
- Pauni ya Kiingereza
- Euro
- Yen
- Pula
- Rupia
- Randi
- Kwacha
- Kwanza
- Dola ya Kanada
Kama sentensi tano kuhusu yafuatayo:
- Hujanenda
- Akiolojia
- Zama za mawe
- Zama za chuma
- Misri ya Kale
- Milki ya Mali
- Dola la Ghana
- Ustaarabu wa bonde la mto Nile
- Utumwa
- Ukoloni
- Ubaguzi wa rangi
Tarakilishi na Mtandao wa tarakilishi
[hariri chanzo]Watu mashuhuri:
- Tim Berners-Lee
- Bill Gates
- Steve Jobs
- Donald Knuth
- Richard Stallman
- Alan Turing
- Linus Torvalds
- Dennis Ritchie
- Pele
Matumizi ya Intaneti:
Sikukuu
[hariri chanzo]Sayansi
[hariri chanzo]Fizikia
[hariri chanzo]Astronomia
[hariri chanzo]- Falaki
- Asteroidi
- Mlipuko Mkuu
- Shimo jeusi
- Kometi
- Galaksi
- Mwaka wa nuru
- Mwezi
- Sayari
- Mfumo wa jua
- Nyota
- Ulimwengu