Papa Callixtus I
Jump to navigation
Jump to search
Papa Callixtus I alikuwa papa kuanzia takriban 217 hadi kifodini chake takriban 222.
Alimfuata Papa Zefirino akafuatwa na Papa Urbano I.
Anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 14 Oktoba.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- J.N.D. Kelly, Oxford Dictionary of the Popes, 2nd edition (Oxford University Press, 2006), 13-4.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Callixtus I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |