Papa Marcello I
Jump to navigation
Jump to search
Papa Marcello I alikuwa Papa kuanzia mwezi wa Mei au Juni 308 hadi kifo chake mwaka wa 309.
Alimfuata Papa Marcellinus aliyekufa wakati wa dhuluma ya Kaisari Diokletiano dhidi ya Wakristo.
Marcello I alifungwa na Kaisari Maxentius na kufariki uhamishoni. Alifuatwa na Papa Eusebius.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 16 Januari[1].
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Liber Pontificalis, ed. Louis Duchesne, I, 164–6; cf. Introduction, xcix–c; Acta SS., Jan., II, 369
- Joseph Langen, Geschichte der Römischen Kirche I, 379 sqq.
- Paul Allard, Histoire des persécutions, V, 122–4
- Louis Duchesne, Histoire ancienne de l'Église, II, 95–7.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Marcello I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |